George Agai

Club Team: saint louis scott gallagher
Men's Soccer

Green Commandos wa Kakamega warejea katika ubingwa wa soka wa shule za sekondari

Baada ya takriban miaka sita Green Commandos wa Kakamega sasa wana fursa ya kurejea na vishindo katika ubingwa wa soka wa shule za sekondari. Commandos sasa watakumbana na Kisumu day ilhali Butere watawaalika kaloleni katika kipute cha wanadada Watch KTN